wrongturn
Elder Lister
Watu waanze kujitegemea na sio lazima you consume wheat, maize and rice to survive. Niliamua kuhama Kanairo and try my best on farming na last season I harvested a dozen bags of Sorghum on my first try. Hii season nimeweka mandizi, machungwa, melons, pumpkins, apples na thandara watu wa Kanairo watakula.
View attachment 61021View attachment 61022
Nice one .