Kuna tuvijana tulipiga kina
@Pamba 1 on Tuesday vibaya sana na kumnyaganya pingu....
Hehe mpaka karau wenzake the following day 'wakapeana' kitu pingu ziachiliwe... Weeeeeueeeh
Sasa Leo wameingia plain clothed Pambas wengi na kuchoma hizo tuvibanda... Pale stage ya kwenda ruguru na pale main stage penye huwa unapitia ndio you join the bypass.... The place looks like a Kosovo of some sorts.
Watu wamekunja mkia and it looks like day one ya siku ya curfew.
Serikali sio mchezo.
Ni hayo tu kwa Sasa...
Nikiripotia Sauti ya MMNN ni mimi wenyu Muliro Telewa.