Narok Governor escapes from chopper crash

mzeiya

Elder Lister
Narok Governor Samuel Ole Tunai survives a chopper crash in Eldamat, Narok County.

More to follow.
IMG_20201017_172348.jpg
 
Leta uhondo
Aiiiii
Leta 411
Ama nijithùe mùkonyo

Kuna tuvijana tulipiga kina @Pamba 1 on Tuesday vibaya sana na kumnyaganya pingu....

Hehe mpaka karau wenzake the following day 'wakapeana' kitu pingu ziachiliwe... Weeeeeueeeh

Sasa Leo wameingia plain clothed Pambas wengi na kuchoma hizo tuvibanda... Pale stage ya kwenda ruguru na pale main stage penye huwa unapitia ndio you join the bypass.... The place looks like a Kosovo of some sorts.

Watu wamekunja mkia and it looks like day one ya siku ya curfew.

Serikali sio mchezo.

Ni hayo tu kwa Sasa...

Nikiripotia Sauti ya MMNN ni mimi wenyu Muliro Telewa.
 
How many tuvijanas have been arrested
 
Back
Top