T The.Black.Templar Elder Lister Staff member Dec 7, 2020 #1 Gavament apologist yuko wapi? Yule msee mwingine wa kutuambia we should be grateful for them doing us a favour yuko wapi? Yaani mtu anafaa aishi aje bila mshahara miezi tano? Na kuna 20 billion zimewekwa mahali za bbi hatuhitaji.
Gavament apologist yuko wapi? Yule msee mwingine wa kutuambia we should be grateful for them doing us a favour yuko wapi? Yaani mtu anafaa aishi aje bila mshahara miezi tano? Na kuna 20 billion zimewekwa mahali za bbi hatuhitaji.