Kukula pesa na vipindire zingine

The.Black.Templar

Elder Lister
Staff member
Screenshot_20201207-175514_Facebook.jpg

Gavament apologist yuko wapi? Yule msee mwingine wa kutuambia we should be grateful for them doing us a favour yuko wapi? Yaani mtu anafaa aishi aje bila mshahara miezi tano? Na kuna 20 billion zimewekwa mahali za bbi hatuhitaji.
 
Back
Top