Kimakia
Lister
Sasa nimepitaa roadblock iko pale Kentmere nikiride bike yangu na hakuna mtu ameniuliza,nikapanda hivyoooo hadi Tigoni -> St Pauls University -> Sovereign Suites -> Redhill hapo ndio nikapata roadblock ingine wananiitisha pass ndio nirudi upande ya kwetu dederuuu.
Sasa nani anajua chochoro kwa sababu vile nimeshoka sioni nikirudi hadi Kentmere.
Sasa nani anajua chochoro kwa sababu vile nimeshoka sioni nikirudi hadi Kentmere.