Kuboeka

Kimakia

Lister
Sasa nimepitaa roadblock iko pale Kentmere nikiride bike yangu na hakuna mtu ameniuliza,nikapanda hivyoooo hadi Tigoni -> St Pauls University -> Sovereign Suites -> Redhill hapo ndio nikapata roadblock ingine wananiitisha pass ndio nirudi upande ya kwetu dederuuu.
Sasa nani anajua chochoro kwa sababu vile nimeshoka sioni nikirudi hadi Kentmere.
 
Hujapita kama umeme hapo? Btw, hao wanasumbua coz i have passed it before. Pole mzeiya bana
Screenshot_20200515-163327_Maps.jpg

Inakaa wanasumbua watu sana hapo...bure kabisa
 
Sasa nimepitaa roadblock iko pale Kentmere nikiride bike yangu na hakuna mtu ameniuliza,nikapanda hivyoooo hadi Tigoni -> St Pauls University -> Sovereign Suites -> Redhill hapo ndio nikapata roadblock ingine wananiitisha pass ndio nirudi upande ya kwetu dederuuu.
Sasa nani anajua chochoro kwa sababu vile nimeshoka sioni nikirudi hadi Kentmere.
Rudi kentmire, goldas( mbari ya kana ), chukuwa route114, kianjogu ,rwino, siumefika kwenyu Rumenye and by the way you will have avoided road block ya pale posta ( redhill junction ) :ROFLMAO:
 
Last edited:
Sasa nimepitaa roadblock iko pale Kentmere nikiride bike yangu na hakuna mtu ameniuliza,nikapanda hivyoooo hadi Tigoni -> St Pauls University -> Sovereign Suites -> Redhill hapo ndio nikapata roadblock ingine wananiitisha pass ndio nirudi upande ya kwetu dederuuu.
Sasa nani anajua chochoro kwa sababu vile nimeshoka sioni nikirudi hadi Kentmere.
Was here at 6pm
20200515_222339.jpg

Ningekufukiza boarder Leo but it was too late
 
Back
Top