Huyu sasa analilia Rais

Mwaume kama huyo anahitaji viboko
images(14).jpg
 
Hehehe analia sababu ya zile shida amekutana nazo he cannot imagine ameruka mtaro wa shida vile sasa amekaribia source ya pesa, he is imagining vile atapewa tender moja wazimu ya serikali aomoke akaona alie tu!

Ata mimi ningelia, heri mniite puseh nanikuwe na billions zangu kwa account
 
Ushawahi kuishi place kama koch, kiandutu, mukuru kwa Reuben etc? Ushawahi kuingia hizo vibanda za video zinakuwaga na DJ wa ku-translate movie? Ushawahi kula ugali na avocado kama supper ukalala?

That's the feeling!
 
Wewe hujui! 😁 😁 😁 . Ile siku nilikula hiyo ugali ya avocado sikua na choice. Pesa ilikua hainipendi.
For me ilikua pale Naivasha nikiwa primary school. Avocado ilikua inauzwa hapo soko mjinga kwa mkokoteni. Nilikua nachukua mbili za 5bob each to share between me and my two sisters. Then tunapika ugali chapchap for lunch. You cut the avocado into two, sprinkle some salt on one half and then crash it into a paste ikiwa tu kwa ngozi yake. Na hivo ndio Mboga ilikua inapatikana.
 
I like avocados but I only eat them without adding anything else. Or with toast only
 
Back
Top