This is an elite meal.. kwanza unaongeza nyanya, dania na kitungu kiasi inakuwa guacamole.Ushawahi kula ugali na avocado kama supper ukalala?
This is an elite meal.. kwanza unaongeza nyanya, dania na kitungu kiasi inakuwa guacamole.
Been there bro.. even that simple meal is a luxury to some. No wonder I always thank the Most High from zile place amenitoaWewe hujui!![]()
![]()
. Ile siku nilikula hiyo ugali ya avocado sikua na choice. Pesa ilikua hainipendi.
For me ilikua pale Naivasha nikiwa primary school. Avocado ilikua inauzwa hapo soko mjinga kwa mkokoteni. Nilikua nachukua mbili za 5bob each to share between me and my two sisters. Then tunapika ugali chapchap for lunch. You cut the avocado into two, sprinkle some salt on one half and then crash it into a paste ikiwa tu kwa ngozi yake. Na hivo ndio Mboga ilikua inapatikana.Wewe hujui!![]()
![]()
. Ile siku nilikula hiyo ugali ya avocado sikua na choice. Pesa ilikua hainipendi.
Have heard my daughter talk about 'gucamole" what exactly does it mean ?This is an elite meal.. kwanza unaongeza nyanya, dania na kitungu kiasi inakuwa guacamole.
I like avocados but I only eat them without adding anything else. Or with toast onlyFor me ilikua pale Naivasha nikiwa primary school. Avocado ilikua inauzwa hapo soko mjinga kwa mkokoteni. Nilikua nachukua mbili za 5bob each to share between me and my two sisters. Then tunapika ugali chapchap for lunch. You cut the avocado into two, sprinkle some salt on one half and then crash it into a paste ikiwa tu kwa ngozi yake. Na hivo ndio Mboga ilikua inapatikana.
Kuna guacamole and Hass avocados. Google and see the differenceHave heard my daughter talk about 'gucamole" what exactly does it mean ?
Mimi najua maguna ngùi
Just a fancy term for kachumbali laced with avocadosHave heard my daughter talk about 'gucamole" what exactly does it mean ?
Mimi najua maguna ngùi