When the house help is hot

mzeiya

Elder Lister
Vaeni leso. This made me chuckle..

92183.webp
 
One time mama boi alikuja mancave akanishow ako na mgeni and at the same time alikuwa anafaa kwenda kuchukua househelp kwa bureau. Sasa akanishow enda kwa bureau, unichukulie msichana mmoja na uchukue mtu anakaa anaweza maintain usafi.

Kuna program ya DSTV nilikuwa nategea in less than 20 mins. Nikatoka mbio hadi kwa bureau nikapata mwenyewe with about 9 girls inside the office. Kufika, I told the bureau madam nimetumwa na mama boi nichukue msichana. Akanishow sawa. Waschana ndio hao hapo chagua mmoja. Bila ata second thought nika point mmoja, akachukua bag yake na tukaanza safari ya kurudi. I bet she would have been no older than 18. All this time my mind iko kwa DSTV. I felt relieved vile I thought it would be a long process ifanye nikose program yangu. Hiyo premiere nilikuwa nimeitegea for 1 week na singe-imagine nikimiss. Tukatembea mbio mbio with me in front mpaka home. I handed her over to mama boi and back I went to wait for my program. It was three minutes to starting time kwa hivyo sikuhata. Hiyo story ikaisha hivo.

After two days naskia mama boi akisema anategea kwenda bureau ya housegirls. She notices I am a bit confused since I had just brought a new house girl a few days earlier. She tells me that the girl had to go. And then she adds that the girl was overly happy that I had selected her. Well, mimi na mambo ya housegirls I always made sure sihusiki ata kidogo. Actually ata sikuwahi muuliza jina. Na vile nilikuwa na man cave interactions zilikuwa zero. Ata food nakulia mancave. Hiyo ikaishia hapo.

Four years later, I sight some girl nikiwa kwa matatu na yeye akiwa pedestrian. At first I assume it is the stunning beauty that has drawn by attention. After a short distance ndio nakumbuka that is the girl I had picked. Unfortunately the next stop ilikuwa mbali sana singeweza kurudi nimsalimie. Hapo sasa ndio niligundua blunder nilikuwa nimefanya. Madam alisema nichukuwe mtu anaweza ku-maintain usafi, mimi naye nikachagua kitu safi. I did it all innocently, without thinking about it for even for 1 second.

To this day, I feel like I deserve justice. Ata jina yenyewe sikuwa nimeuliza. And yet mimi policy yangu ni kukaa several miles away from any housegirl just to avoid unnecessary suspicions. Madam alikuwanga overly insecure lakini nilikuja kugundua ni kwa sababu alikuwanga MWK to someone before I met her. Lakini kusema tu ukweli, judging from what I saw nikiwa kwa matatu, hapo lazima kingeumana. Everyone has a limit. Saa hii ningekuwa na scion kathonzweni ama kitui.
 
Last edited:
Back
Top