Wakenya na siasa

Clemens

Elder Lister
Katika pilka pilka zangu za kujikimu kimaisha, nimepitia sehemu za kibiashara za chini katikati wa mji wa Nairobi, na wakenya tuna kasumba moja, siasa, gumzo za wananchi aghalabu wanazungumzia siasa za urithi, ni kama kwamba sote tumeduwazwa na wanasiasa na siasa duni zisizo na maana Kwa maisha yetu ya kila siku.
Muwe na siku njema isiyo na cheche za siasa.
 
Back
Top