UDA ..... The PLAN

Gio

Elder Lister
The plan !

Tumepanga

Tumesema

Tumeweka mikakati

Tutafanya

Tutapunguza

Tutateremsha

Tutahakikisha

Tutarekebisha

Tumeondoa

Tumeongeza

Tumeongea na waziri, askofu mkuu, Mzee wa kijiji

Vile Vile Tumetenga birrioni Mia tisa

Mwaka huu

Mwisho wa wiki hii

Kwanza wiki ijayo

Chini ya miezi sita

Kufikia mwezi wa Tisa

Kuanzia mwezi ujao



 
1768749729636.webp

Haha cartoonist Amesema WSR amendea Johnny Bravo mrima babe at the expense of big butted lakeside babe 😁
 
Back
Top