Nameless
Elder Lister
Pale Merikani, watu huwa wameheshimu veteran wao sana. Ata ukienda na userve abroad kwa army for one month, unapewa heshima yako. Trump mwenyewe bragged that hakuwahi ingia army yet we all know ni coz he's a coward..kuzidisha, akamake light of Senator McCain's death, a former vet. Sasa watu wamejam na kameingizia mbaya!
www.theatlantic.com
He's so riled that anapeana excuses pale Twirra:
Anyway, acha nifungua Plisner yangu ya nne tonight
cc @Ngimanene na Muchere @The.Black.Templar @Nattydread
Hii picha imejiweka

Trump: Americans Who Died in War Are ‘Losers’ and ‘Suckers’
The president has repeatedly disparaged the intelligence of service members, and asked that wounded veterans be kept out of military parades, multiple sources tell The Atlantic.
He's so riled that anapeana excuses pale Twirra:
Anyway, acha nifungua Plisner yangu ya nne tonight
cc @Ngimanene na Muchere @The.Black.Templar @Nattydread
Hii picha imejiweka