Different flavours hupelekana vizuri na certain foods. Ndio maana kalikuwa kiasi tu ka kuswash mdomo baada ya lishe but your opinion remains valid.
Edit: Ni kuswish
Ngoja siku yenye utachorwa uki swish.Hehe daily dose ya vayolens imeanza
View attachment 42029
Hence the need to swish or is it swash with copious amounts and mouthfuls of red dry wine. To return the taste buds to original settings.Unachanganya dashness ya pork na matumbi?
Haya..... Tawe!
Mashakura.............
Ka-Dynasty bana.................eti lunch unadown na glass ya Domaine de la Romanee-Conti Montrachet Grand?
I envy kadynastyKa-Dynasty bana.................eti lunch unadown na glass ya Domaine de la Romanee-Conti Montrachet Grand?
Mateso! Hujumaaaa....................
Hii ni Ribena umeweka maji