Many people are choosing to go with what's fashionable, without thinking about the implications on the child, who will have to live with that name all their lives. Kuna toddler fulani rafiki yangu lakini nilishindwa kabisa kumwita kwa jina yake. Ati blessing. Ilibidi niulize other names niwe nazitumia.