Si juzi Farmajo ndiye alikojorea uhusiano?Huyu Munya si kuna siku akiwa gavana wa Meru aliharibu soko ya Miraa vile alitambua Somaliland? Ikabidi Uhuru mwenyewe aongee na Farmajo or whoever was leader in Mogadishu. History truly repeats itself
Unamanisha hawapatangi trafficFor the first time in history, Statehouse Kenya handles in the social media have a majority of its comments from Somaliland and Somalia.
Yeah from Somaliland and Somalia, most of the time it's just Kenyans.Unamanisha hawapatangi traffic
Khat induced decision making...Burning the midnight oil literally, state announcement at 1:40 am.