JazzMan Elder Lister Mar 23, 2022 #2 Hiyo sasa ni ugali ama ni malondo? (ile crust huwa inabaki kwa sufuria ya ugali)
It's Me Scumbag Elder Lister Mar 23, 2022 #3 Nyama inakaa kuokotwa kutoka kwa zile pieces hukatakatwa kujazia weight kwa weighing scale
Aviator Elder Lister Mar 23, 2022 #4 It's Me Scumbag said: Nyama inakaa kuokotwa kutoka kwa zile pieces hukatakatwa kujazia weight kwa weighing scale Click to expand... Hii kwa mkuMBWA ni top class. You should see his mathagiro
It's Me Scumbag said: Nyama inakaa kuokotwa kutoka kwa zile pieces hukatakatwa kujazia weight kwa weighing scale Click to expand... Hii kwa mkuMBWA ni top class. You should see his mathagiro
zapp_brannigan I am not a Futurama fan . Mar 23, 2022 #6 By the way @Okiya how is your nyama business ?