Ni jumamosi...

Mwalimu-G

Elder Lister
...siku ya malipo

Kwanza verification...

IMG_20210206_143350.jpg

Kazi ni ngumu, kwanza mizizi kisha murram ingine unagonga na sululu inatoa sparks...

IMG_20210206_143702.jpg

Wengine wanaambiwa warudie mtu anakaa kufikiria kwanza...

IMG_20210206_143800.jpg

Someni vijanaa....na mtie tena bidii....
 
Last edited:
wacha nikuibie siri, hapo mahali unagonga murram inatoa sparks hauhitaji strip footing kama nyumba ni single story, kwingine mahali ground ni soft weka. Na mahali ground ni soft itabidi uende deeper than the photos
congrats on breaking ground
 
My friend education isn't a guarantee these days but sijasema watu wasisome. But it's a basic requirement.
 
Back
Top