Young_Turk Elder Lister Today at 12:37 PM #4 Kasongo likes misusing women. Yaani huyu mama haoni atazeeka in the next 10 years? Hizo stairs na corridors atakuwa anapanda akishuka EVERYDAY Zitampatia athritis deadly sana. No elevator Poor design Slow to respond to maintainance. Signs of the development of gang activity And its not even fully occupied yet. Huku kukiwaka moto, Watakuja kuzima within 1 to 2 months timeframe.
Kasongo likes misusing women. Yaani huyu mama haoni atazeeka in the next 10 years? Hizo stairs na corridors atakuwa anapanda akishuka EVERYDAY Zitampatia athritis deadly sana. No elevator Poor design Slow to respond to maintainance. Signs of the development of gang activity And its not even fully occupied yet. Huku kukiwaka moto, Watakuja kuzima within 1 to 2 months timeframe.
Mututho Wa KK Senior Lister Today at 3:44 PM #5 Mwananchi mwenye mapato yake iko chini ndiye anafaa kukaa huko na side hustle za wakaazi lazima zitaendelea
Mwananchi mwenye mapato yake iko chini ndiye anafaa kukaa huko na side hustle za wakaazi lazima zitaendelea