QuadroK4000
Elder Lister
Niko huku fagaria, baridi imezidi !
Waaaaaaah! Kesho pitia Bagaria primary,.... Pitia Naishi township, pia ile mto inapeleka maji L. Nakuru....
Alafu panda huko juu ma stone kwa mlima.
Usisahau mbicha za huko.
Unaweza pia ongeza mbisha za stoo mbili, warubaga town, posta na mbisha ya Molo bright sacco.
Thanks.