mzeiya
Elder Lister
And here are the results...
@zapp_brannigan naye akaagiza big car and the guys delivered
Shida sasa ni huu msimu wa mvua, gari inanyeshewa inakuwa double the weight na pia lazima ikuwe na personal security ndio hustlers wasiivunje iwe kuni ya kupikia mandazi.
Kazi swaff nevertheless @Meria, @It's Me Scumbag & @Introvert.