Elgin
Elder Lister
No problem, mimi nalimia mahindi tu hapa ochaz, nataka kuuza ya last yr. Uko na pesa tufanye biz?Lakini gava ikikosa taxes mtaanza kufanyiwa salary cuts. Badala ya hiyo 18k unalipwa itakuwa unalipwa 9k kama Yule kijana wa cyber.

Mr mi hupata 62k net, hio hunitosha saana. Mi hukula na kukunywa kitu thate eiti...hii ingine nakurushia mpesa...kwenda!Lakini gava ikikosa taxes mtaanza kufanyiwa salary cuts. Badala ya hiyo 18k unalipwa itakuwa unalipwa 9k kama Yule kijana wa cyber.
Yaani unakunywa more than 50% of your salary? Chunga usiende retirement ukiwa hauna kakitu.Mr mi hupata 62k net, hio hunitosha saana. Mi hukula na kukunywa kitu thate eiti...hii ingine nakurushia mpesa...kwenda!
Sio mbaya, at the time I quit, nilikua nalipwa around 30k net, Job group L.Mr mi hupata 62k net, hio hunitosha saana. Mi hukula na kukunywa kitu thate eiti...hii ingine nakurushia mpesa...kwenda!