Lakini umesema ukweli. Iko watu najua saa hii wanaumia vibaya, wakapata opportunity ya kuenda majuu hawawezi fikiria twice.
Iko jamaa najua alikuwa amegonga glass ceiling kwa job za hotel industry. Alipigiwa deal kuenda statoe kama msee wa sports, mpaka akavalishwa matrack suit. Jamaa kufika huko wakabadilisha status yake akuwe student na saa hii anachapa works.