mzeiya Elder Lister May 18, 2022 #4 Marekebisho kwa wingi. Nimeona wameweka screen ati ni ya kupunguzu kelele hapo Parliament but tunajua ni wabunge wanahofia security yao
Marekebisho kwa wingi. Nimeona wameweka screen ati ni ya kupunguzu kelele hapo Parliament but tunajua ni wabunge wanahofia security yao
T The.Black.Templar Elder Lister Staff member May 19, 2022 #5 Ati pia jana usiku kumekuwa na jam kubwa expressway more than the free road?
Jug Elder Lister May 19, 2022 #7 Either watu wengi wanatumia Express Way ama magari zimelala kwa compound. Jana nimefululiza kutoka Sabaki hapo 7AM hadi jiji kwa free road without encountering izo jam za kipuzi, bottleneck ni hapo GM but the road is clear
Either watu wengi wanatumia Express Way ama magari zimelala kwa compound. Jana nimefululiza kutoka Sabaki hapo 7AM hadi jiji kwa free road without encountering izo jam za kipuzi, bottleneck ni hapo GM but the road is clear