Taking the pic and using football analogy.. The number 8 is a box to box midfielder who needs to get the ball to the number 9 who's a goalscorer. However between them, a number 10 who provides the through pass is critical.MOH says, at least 98 girls aged between 10-19yrs are infected with HIV every week; between Jan and Feb 2022, Kenya recorded 45,724 cases of teen pregnancies.
View attachment 58752
MOH says, at least 98 girls aged between 10-19yrs are infected with HIV every week; between Jan and Feb 2022, Kenya recorded 45,724 cases of teen pregnancies.
View attachment 58752
weeeshe, sisi hatukuli matunda haija iva.
Wewe dereva wacha zako! Inajulikana everywhere kwamba nyinyi pamoja na Bodaboda gang ndio worst players. Sasa hamtaki na sisi tufurahie, hence the HIV hoax and a million of other conspiracy theories! As long as itel, tecno na data bundles are basic needs to them spoilt kittens then kukula tutazidi kuwakula kafkaf. In any case, mimi najua kuchagua kwa kuangalia na macho kale hakana ukimwi. Halafu hata nikitaka, condoms are no longer available Kibandani!
weeeshe, sisi hatukuli matunda haija iva.
we dont go for children who keep asking for bundles.
and our experienced geos always carry their own condoms
As long as itel, tecno na data bundles are basic needs to them spoilt kittens then kukula tutazidi kuwakula kafkaf. In any case, mimi najua kuchagua kwa kuangalia na macho kale hakana ukimwi.
Twakukaribisha kwa mioyo mikunjufu katika jiji hili takatifu. Ili kuhakikisha nawe umepata upako dhabiti, nasi hatuna budi ila tukufanyie ubatizo utakao kutakasa kutoka utosi hadi miguu.Meaning of AIDS:
American Idea of Discouraging Sex.
Asande omwamiTwakukaribisha kwa mioyo mikunjufu katika jiji hili takatifu. Ili kuhakikisha nawe umepata upako dhabiti, nasi hatuna budi ila tukufanyie ubatizo utakao kutakasa kutoka utosi hadi miguu.
Kwa mwendo wa aste aste, tunaomba uandamane na kurutu wenzako ukajitumbukize katika maji ya uhai. Ukiwa ndani, hakikisha umejisugua mwili mzima, usisahau kuosha kati kati ya kinyambis na vidole vya mguu.
View attachment 58772
Naam, sasa twakuletea mafuta takatifu itakayosafisha dhambi zako na kutoa uchafu yote uliyonayo ili ukiingia katika mwamko mpya, uwe safi kama pamba. Ukiweza ogelea kwa mafuta haya, itakuwa murwa kabisa.
View attachment 58771
Karibu kijiji huli takatifu.