JazzMan
Elder Lister
There is a mantra spread around when one thinks of stocks...
Be fearful when others are greedy, and greedy when others are fearful...
However, WallStreetBets wameamua kupeleka Dogecoin to the moon kama vile wanafanya GameStop, Nokia and AMC stocks.
The thing is, Dogecoin is selling at KSH 6 at the moment. Nikinunua ya mia tatu halafu niikalie mpaka mahali bubble itaburst, niko sure nitaingiza kakitu. Hata ikipotea, mia tatu kenya shillings haitaniuma sana.
Twendeni tukafanye experiments. Tusingoje hii sirkal ya konyagi itupeleke mahali. Saturday asubuhi since cryptocurrency markets don't close...
robinhood.com

Dogecoin (DOGE) - Provisionsfrei auf Robinhood kaufen und verkaufen
Mit Echtzeitkursen, Marktdaten und einschlägigen Nachrichten können Sie auf Robinhood provisionsfrei in Dogecoin (DOGE) und andere Kryptowährungen investieren.