Covid-19 and its mutating cousins here for life

KenyaWest

New Lister
I honestly think hii kitu covid will be with humanity hence...

Keeping up with a mutating virus will need to have constantly changing vaccines...

Ni kama kufunga nyumba (human body) na padlock ambayo mwizi (virus) ana master key...ukibadilisha padlock anacheza nayo anafungua.

Humanity never cured 1 virus...ata kamoja

Quote: "The fact that they are not alive means they don't have to play by the same rules that living things play by,"
 
Last edited:
Hata ukimwi ilikuja na ikakataa kuondoka na bado tunaishi tu.
exactly.
kama Aids, kuna watu watavaa mask/Condom na hawatapata, wenye hawatavaa na hawatapata, na kuna wenye watavaa na kupata na kutovaa na kuipata.
kwa wenye watapata, kuna wenye wata pona na wengine wataenda immediately.

so we shall have to treat it the way we treat Aids/HIV.
Unavalianga CONDOM/MASK?
 
Back
Top