Conclusion

The.Black.Templar

Elder Lister
Staff member
Women don't like seeing men happy if it is not with them...hii ni conclusion ya ukweli wadau?

Screenshot_20200131-065115_Instagram.jpg

Mara ngapi umeamshwa usiku kuteteshwa vitu haziko....ama ukiwa abroad ukistruggo unapigiwa simu usiku wote hadi ulale ndio akuwe sure hupati time ya kuongea na mtu nwingine
 
Women don't like seeing men happy if it is not with them...hii ni conclusion ya ukweli wadau?

View attachment 35074

Mara ngapi umeamshwa usiku kuteteshwa vitu haziko....ama ukiwa abroad ukistruggo unapigiwa simu usiku wote hadi ulale ndio akuwe sure hupati time ya kuongea na mtu nwingine

Kuna ukweli kwa hii maneno, kuna wakati tulikuwa tumeboeka kwa nyumba, asked madam if she wanted to go out for a walk akadinda, mi nikajipa shughuli and left. Kwa roundi mwenda nakutana na rafiki and end up kula nyama na kurudi nyumbani usiku. Nakuta nimefuriwa nilimuacha aboeke. Nilicheka nikaenda kulala
 
Back
Top