Wakizungumza katika kongamano la kijamii lililoandaliwa eneo la Lamu Fort, Kaunti ya Lamu, viongozi hao walidai wanawake Waislamu wanapoabiri bodaboda huwa wanakaidi sheria ya dini kwani baadhi ya sehemu zao za mwili ambazo hazifai kuonekana hubaki wazi, huku wakugusanagusana na waendeshaji bodaboda hao.
Vibration leading to wet pants.
Panda in Lamu? Maajabu....Wamezoea panda?
That's a difficult one, ban boda all together.
I mean to say, what they're suggesting is equal to trying to ban bodas, almost impossible.That's a poor solution, if it can even be considered one