Azimio in Thika

Circledot

Senior Lister
Kwani Raila atazidua campaign zake Mara ngapi.Alianza kasarani,akasema ameanza lazimi campaign zake. Tena akaenda bukungu western, akaanza tena. Tena nasikia anaenda Thika kuzidua campaign zake.Huyu mjamaa ako sawa kweli?Mimi najua Kenya siku hizi tuna upungufu wa wajinga?kuuliza tu!
 
He has to make everyone feel part of his campaign...
 
Back
Top