Ngimanene na Muchere Elder Lister Jun 25, 2020 #1 Na mbona hawezi lipa tender namna hii, ama county ndio yake na Waiganjo? Hata nyinyi when you invoice, is it paid that same day? Last edited: Jun 25, 2020
Na mbona hawezi lipa tender namna hii, ama county ndio yake na Waiganjo? Hata nyinyi when you invoice, is it paid that same day?
T Talespin Lister Jun 25, 2020 #3 Huyu mama ni mwisi kabisa. Lakini hii kuiba yake hata huwa hafichi. Other people wameiba for years na hawajawai shikwa. She is a noob in corruption. Kazi ya siasa awache tu.
Huyu mama ni mwisi kabisa. Lakini hii kuiba yake hata huwa hafichi. Other people wameiba for years na hawajawai shikwa. She is a noob in corruption. Kazi ya siasa awache tu.
Aviator Elder Lister Jun 25, 2020 #4 Wachaneni na kassin. Though sijapata tender tangu achukue hio kiti. Afathari angebaki NYS.