Search results

  1. JazzMan

    2.6M Discuss

    Kama ni lazima, nunua Allion. Basically the same car. Lakini siwezi guza hizo gari; wagondi watanifunza kuishi kanairo
  2. JazzMan

    Lamu Again: 4 dead

    Serious investment in drones...
  3. JazzMan

    Happy birthday Raila

    TRAITOR!!
  4. JazzMan

    Kipkelion Girls High School goes up in flames

    Wamekauka sana hadi vile walisuguana wakawasha moto
  5. JazzMan

    Have you seen this?

    Kama stima ndio imepanda badala ya kushuka, hii pia itakuwa ghali kuliko kutumia lorry.
  6. JazzMan

    Incoming Nyando MP

    What are you doing looking at another man's crotch?
  7. JazzMan

    Wesdon Otel Room 350 trending

    Sasa wewe ndio umeweka thread halafu watu wengine wakujazie details? @Meria ondoa hii thread ya upus, anajaza server
  8. JazzMan

    Not my problem but I am disappointed in N'golo Kante

    Red pill knowledge is not common. Hata hivyo, Kante was poor, entered football late in life. Most likely the people around were always looking down on him, hakuwahi jifunza vitu zingine. He still has time ya kusoma kitabu hicho anyway, and the good thing ni hana mtoto bado.
  9. JazzMan

    Not my problem but I am disappointed in N'golo Kante

    Huyu writer hakuweza fikisha word count, akaona aandike upuzi
  10. JazzMan

    School head backs mandatory drug test for students

    These people will do anything and everything to avoid dealing with the real problem plaguing schools.
  11. JazzMan

    D- Misbehaving. Apan cheza na watu ya Kagumo

    Kabisa, na asirudi. Alikuwa anashukisha collective intelligence na moral standing ya kijiji na hiyo D minus yake
  12. JazzMan

    Chelsea inauwa nyoka ya north london

    Probably because his team doesn't want to play this match. Another own goal
  13. JazzMan

    Chelsea inauwa nyoka ya north london

    Hiyo marabou stork inasaidiwa na prem. Wakati chelsea walikuwa na wachezaji kumi nje kwa sababu ya Uviko na majeraha, waliambiwa waweke vijana wa youth team. Liverpool watu wawili tu, mechi inatupiliwa mbali
  14. JazzMan

    Chelsea inauwa nyoka ya north london

    Tayari kuna bao ya Havertz/Tanganga own goal
  15. JazzMan

    Special Parliament Royal Rumble

    Okay, nini inaendelea kwa hizi upuzi zote? Hata sijui amendment ni za nini haswa
  16. JazzMan

    Wanderi.... closed the site on this day.

    Hiyo ingine ndio null and void. Waliwacha ilale for more than 5 years.
  17. JazzMan

    Wanderi.... closed the site on this day.

    Hapana, This is Gold ilikuwa handle ya Jerry Kibet, yule jamaa ako Germany alikuwa nurse. Nimesahau hizo handle zake zingine. Yeye na Uwes walisumbua mods sana
  18. JazzMan

    Malaba Jam

    Wale walishikiwa oma beeiii na Coast Guard last week
  19. JazzMan

    Mt Kenya people have seen the light

    Hakuna hata mmoja mrembo. Priss, naomba utuondolee hii picha inachafua maitho
  20. JazzMan

    Another school goes up in flames

    Shule ya kwanza kustrike ilikuwa 1908, na ya kwanza kuchomwa Kenya hii ilikuwa na huko 50's. Mtu asijaribu kuwekelea watoto wa siku hizi wako na kasoro. Fix the education system
Back
Top