Riots currently in South B Aoko Rd and Kapiti Rd

I think kuna other clean up groups basi, I've seen the crews in south b for a few weeks
Ni program gani hii?
The Kazi Mtaani program was announced by the President as a COVID19 response measure during his address on April 29. Recruitment started the following week which is the week of 1st to 7th kwa hivyo Kama Kuna Kazi imefanywa Ni one week .
 
Nimesema program ili-launchiwa last week and that is fact Mambo ya NOT PAID FOR WEEKS sio accurate.
Sasa picha hata mahali penye umeokota wenyewe wanasema hawajui kwenye ilitoka wapi inatuhusu Nini kwa huu mjadala?
Wachana na M. K siku hizi ako na makasiriko ya bure.
 
The Kazi Mtaani program was announced by the President as a COVID19 response measure during his address on April 29. Recruitment started the following week which is the week of 1st to 7th kwa hivyo Kama Kuna Kazi imefanywa Ni one week .
They were supposed to be paid 600 per day leo wana ambiwa ni 250 per day.
 
Back
Top