Kuna siku walinivurutia gari hapa inje ya Muthaiga police station mpaka Pangani na gari ilikuwa sawa kabisa . Makosa ilikuwa ati nimesimama kwa stage .I didnt know you are not supposed to stop.Petrol station iko wapi? Hawa watu wa breakdown wanalipishwa na mungu
Simps must be taken advantage of in this townKuna siku walinivurutia gari hapa inje ya Muthaiga police station mpaka Pangani na gari ilikuwa sawa kabisa . Makosa ilikuwa ati nimesimama kwa stage .I didnt know you are not supposed to stop.
One of the mlevi wa breakdown alikuja kwa mlango ya dereva and removed the car keys from the ignition then in seconds the breakdown ikakuja mbele ya gari and they started kufunga chain . 3k ilienda tu hivo , i hate those vultures .