Well done Uhuru. Kumbe you wasted 10 years as president instead of being mtu ya mkono.
Bado uko huko. KEEP CALM AND SEE O'RANGE KIMANI RISINGWacha hio,kama bado ndiye wangekuw wanasidana na jsks bado tungepatia yeye ingine tano,usidanganywe,Uhuru is still the mount Kenya point man
Nitasema mara ngapi mimi sijawai piga kura. I voted for Arap mashamba as a first time voter. Mimi msiniwekelee tafadhali. Bebeni msalaba yenu.You say he wasted 10 years but when you had the chance of removing him in 2017, you decided to give him another 5 years as a birthday present
Nitasema mara ngapi mimi sijawai piga kura. I voted for Arap mashamba as a first time voter. Mimi msiniwekelee tafadhali. Bebeni msalaba yenu.
Kumbe nilikuwa nimeona mbali hivi.
Anyway, sasa weka za 2022 nikiweka voters card mkubwa.
Wacha nikusaidie. Si unajua you are a bit addicted to misinformation. Ona ata nilikutag.Wachana na uwongo kijana ama utaenda jehennam
Wacha nikusaidie. Si unajua you are a bit addicted to misinformation. Ona ata nilikutag.
Nitasema mara ngapi? My ID got lost and by the time I got a replacement, the registration window had closed. So I didn't. But I would have voted for Uhuru, no doubt. Who knew he would throw out the big 4 for some fools erand with his brother Raila.Me addicted to misinformation? Swali ni 2017 ulipiga kura ama you misinformed us that you voted?
Nitasema mara ngapi? My ID got lost and by the time I got a replacement, the registration window had closed.
You say he wasted 10 years but when you had the chance of removing him in 2017, you decided to give him another 5 years as a birthday present