Vile Sato inaendelea

Kenya airforce air show currently ongoing

Kama uko Nairobi mnaona vile hizo jets zinapita? Ni kama bullet. Unashuka ukisema uangalie juu ishapotea.

What are you guys upto?
Nikiwa huku kasa ,I saw two planes following each other up there in the sky , thought one was a breakdown towing the other ! Kumbe it's that KDF nonsense. Anyway so many class 8 are unable to join form one due to fee problems
 
Back
Top