Is anyone allowed to use this ama utakuwa state enemy? Inatumia reli kwenda nyahururu
Wapi ya Bonobo?
Hii Kijiji aliharibu mimi. Nimesoma Cambodia and the first thing came to mind ni @kingolonde na yule bwana ya @Meria . Kajiuliza ni wapi ukambani kuna reli...then my mind woke upShait, kuna watu Cambodia wanatumia an exact rail cart and they load them with all manner of stuff including live poultry. Uphill mnasukuma alafu mnateremka via @The.Black.Templar's best friend - gravity!
Saw it on the series called Travels with my Father. Very funny
na yule bwana ya @Meria
Hapana.... Hujui bwana ya @Meria Mutheu?