Two Methods of using the Nairobi Expressway

That voucher iko na so much details making it hard for the attendant kucheza kama yeye . Nowadays with the use of ANPR cameras and software you can audit and nab the attendant very easily . Alafu kwani kuna cash payments Kwa toll stations ?
Don't you live in Kenia my friend? Kama watu hucheza na akina banking systems, ifmis, hii ya Barabara ndio itawashinda? Time will tell though.
 
Don't you live in Kenia my friend? Kama watu hucheza na akina banking systems, ifmis, hii ya Barabara ndio itawashinda? Time will tell though.
Pale airport taxis huwa hazilipi parking wanaexit huko pande ya cargo nakuacha za macho..so anything is possible.
 
Back
Top