Klist imeanza kuwa monotonous with the same content daily
Asubuhi:
~AOB thread
~Gazeti
~Wordle
Mid day
~Kenya Kwanza
~Raila
~ Kalonzo
~Take the poll
Evening
~No threads.Zero. Klist hufungwa the way KBC walikuwa wanafunga kituo
Weekends
~EPL matches
~ Alfajiri ya kupendeza
Today I logged in at various times na in all those times we were not more than 5 guys online.
Ama ni mimi nazeeka?