mzeiya
Elder Lister
Shughuli zimefanya niamkie pande za Ngong and feeling like having some protein kwa tumbo.
Nikajipata kibandaski and the metallic cup has brought so many memories.
Kama uko karibu na Matasia, anglia pahali Axela iko kando ya barabara tuchafue meza volivyo..
Damage: 150 mbob kama wale raia wa @Cortedivoire