Wapi uliona coach akivaa jersey?Siulizi kwa ubaya lakini haifai kuwa wale wamekuwa na Ndoa nzuri wakitoa mawaidha?
Same thing applies to Kibe, Amerix, Burale & others.
Marital experts Kenya ni wale wamewachwa na kuwachana... Or maybe I'm naïve?
View attachment 58402
90% of coaches huwa walicheza the game, excelled in it and acquired so much technical ability and gems of wisdom. They also absolutely love the sports they are leaders in.Wapi uliona coach akivaa jersey?
Why ask the hard questions? I kitu pia mimi sijawai elewa, nilona Betty pia anataka kupatiana mawaidha hehe ingine ni kututusiSiulizi kwa ubaya lakini haifai kuwa wale wamekuwa na Ndoa nzuri wakitoa mawaidha?
Same thing applies to Kibe, Amerix, Burale & others.
Marital experts Kenya ni wale wamewachwa na kuwachana... Or maybe I'm naïve?
View attachment 58402
Hehehe. Most are also failed footballers.90% of coaches huwa walicheza the game, excelled in it and acquired so much technical ability and gems of wisdom. They also absolutely love the sports they are leaders in.