"Please tell him (Uhuru) that Ruto has said even if he has decided to help the Kitendawili man (Raila), I plead with him humbly, that he shouldn't unleash the same sword we used together on him (Raila) to cut my feet." Ruto in Mt. Kenya
Kwanini Ruto Aogopa Uhuru? Mambo yanayoletea Ruto baridi
1. Anahofia Uhuru amesaidia umarufu wa Raila kuongezeka katika zaidi ya Kaunti 11 za nje ya Mlima Kenya
2. Anadai Rais anatumia rasilmali kununua wanasiasa kutoka UDA
3. Anadai Rais anasaidia Raila kupanga mikutano ya kampeini
4. Kambi ya Raila inanufaika na taarifa za kijasusi