Long Feet

Jug

Elder Lister
Iko shida na si kidogo, all in all ii nikongamano ya wachache. Miguu imeamua kuongeza inchi kadhaa seems I'll have to cross the Number 45 niruke iyo kipande ingine ya Substitutes kutoka first 11(adios) 😁 ii kipande na hofia nitakuwa napigwa na baridi pekee yangu. 45 tayari ilikuwa shida.

Vidole zinateta banae, lasma zijikunje nikama zinaenda fishing ii maisha ya hook line zimekata.

Recommend a good place to source for quality shoes.
 
Huwa sikosi kiatu 11+ kwa duka za Umoja na Bata, lakini iwe strategic location kama ya Hilton na hapa Odeon.
 
Kama wewe ni mtu wa mtush, fika pale. Gikomba opposite the Majengo Mosque. Huwezi kosa mali safi ama outside Burma Market along Jogoo Road

Watu watoke CBD , mitumba ziko everywhere and others clothing !
 
Last edited:
Is it true what they say about the shoe size and dick size?
Asking for @Female Perspective
DwFSV9WXQAIqdSD.jpeg
 
Iko shida na si kidogo, all in all ii nikongamano ya wachache. Miguu imeamua kuongeza inchi kadhaa seems I'll have to cross the Number 45 niruke iyo kipande ingine ya Substitutes kutoka first 11(adios) 😁 ii kipande na hofia nitakuwa napigwa na baridi pekee yangu. 45 tayari ilikuwa shida.

Vidole zinateta banae, lasma zijikunje nikama zinaenda fishing ii maisha ya hook line zimekata.

Recommend a good place to source for quality shoes.
tafuta crocs uvaaange full time :LOL::LOL::LOL::LOL::LOL::LOL::LOL::LOL:
 
Iko shida na si kidogo, all in all ii nikongamano ya wachache. Miguu imeamua kuongeza inchi kadhaa seems I'll have to cross the Number 45 niruke iyo kipande ingine ya Substitutes kutoka first 11(adios) 😁 ii kipande na hofia nitakuwa napigwa na baridi pekee yangu. 45 tayari ilikuwa shida.

Vidole zinateta banae, lasma zijikunje nikama zinaenda fishing ii maisha ya hook line zimekata.

Recommend a good place to source for quality shoes.
Piga raundi pale gikomba. Viatu size yako wanauza mia mia juu hazina buyers. ION you are still evolving. Hiyo miguu kubwa niya kuzuia usi-sink kwa marshy grounds ukitafuta proteins.
 
@idiamin bwana protect me from this guy(ameanza vita Malena) , mimi nakuja na vijiti yeye anakuja na bazuka :D
 
🤣 Kwanza mimi hushinda in crocs or slides. I only wear shoes if I am driving. Otherwise ata naweza weka crocs sports mode na niende kule nilikuwa naenda unbothered
Mimi izo vitu zilinishinda lakini sandals ndio ziliniweza kwanza izi za Masaai izo nikiva kiatu tunaoneana viusasa
 
Back
Top