Lest we forget

IMG_20211212_185218.jpg
 
Wacha feelings muyamaa. Umeona vile Wakamba wamesherehekea kiiwuu cha short rains mpaka kama mia mbili wamejitupa ndani na kuangamia? Ndivo sisi wengine husherekea hao wasichana wenu. Unamwambia, 'aki Mwende, unajua niko na mitungi kumi ya kiiwuu nyumbani?'

Anakwambia, 'asii wee Guka ni munoma. Unataka kandongii ama kivo ya mende?'

Hiyo ingine inakuwa historia...
 
Last edited:

Anakwambia, 'asii wee Guka ni munoma. Unatakata kandongii ama kivo ya mende?'

Hiyo ingine inakuwa historia...
@admin , kuja kidogo priss. Is too much
 
Wacha feelings muyamaa. Umeona vile Wakamba wamesherehekea kiiwuu cha short rains mpaka kama mia mbili wamejitupa ndani na kuangamia? Ndivo sisi wengine husherekea hao wasichana wenu. Unamwambia, 'aki Mwende, unajua niko na mitungi kumi ya kiiwuu nyumbani?'

Anakwambia, 'asii wee Guka ni munoma. Unataka kandongii ama kivo ya mende?'

Hiyo ingine inakuwa historia...
😂😂😂 Mzae saa zingine unakuwaga na ufala.😂😂😂
 
Back
Top