Mongrel
Elder Lister
Wacha utiaji man, wewe hujawahi kula za wengine,farasi hafunguwi mdomo akilimia ngano, panya ya kanisa hukulia kanisani, Kuwa mpole usiwekewe vendetta nyumba ichomwe kwa post election violence, heed my advice fellaThe only way it fails, is if I don't ask for prosecution for that theft. They have confessions, and some other exhibits.
Nimeamua wapewe free accomodation this weekend. Nikiamka on the right on Monday hawataenda kortini.
Siyo pesa mingi saaana. A few tens of bags of cement ndiyo wamepatikana red handed. Lakini kuna vitu zimekua zikipotea: a roll of electric cables, drilling machine, etc. I don't have a proof but I suspect kijana wa site ndiye alikuwa na hizo maunjinga.