Odm - TangaTanga Drama Heads To Kisii - Ndondi Kwenye Mazishi

Nyinyi watu you are just talk and no action, 2017 si mlishindwa kuzima goons walikuwa wanachoma biashara in Kawangware
Mimi nilisema siwezi enda kusaidia dynasties wa kawangware,hawawezi patia vijana wetu kazi,wakati hakuna siasa they are best of friends.na Kuna kitu inaniuma Sana how can they develop dagoretti north hivo na kuexclude dagoretti south,wanaweka cabro mpaka kwa footpaths huko kawangware
 
Back
Top