Meria, Umewacha Mzigo Na Trailer Ya Mwarabu Wapi

nko sure dereva aliona container peke yake akaanza
ona hii ngombe, watu wengine hawanaga akili, utakosa aje kufunga mgongo vizuri. huyu anafaa afutwe kazi na kufungwa.

wacha mtu aone number plate agundue ni yake.
 
Back
Top