P Pamba 1 Elder Lister Sep 8, 2020 #2 Wacha nitafute chokoraa kumi nilishe na kupiga picha nikiwa job.
Nattydread Elder Lister Sep 8, 2020 #4 Pamba 1 said: Wacha nitafute chokoraa kumi nilishe na kupiga picha nikiwa job. Click to expand... Hata usipopiga picha utakuwa umewalisha baadala ya kutuambia vile wazazi wamekataa kudedi.
Pamba 1 said: Wacha nitafute chokoraa kumi nilishe na kupiga picha nikiwa job. Click to expand... Hata usipopiga picha utakuwa umewalisha baadala ya kutuambia vile wazazi wamekataa kudedi.
P Pamba 1 Elder Lister Sep 8, 2020 #5 Nattydread said: Hata usipopiga picha utakuwa umewalisha baadala ya kutuambia vile wazazi wamekataa kudedi. Click to expand... Kuna a senior police officer akiwa traffic alikuwa anahonga watu wa media kumusifu eti huwa hachukui hongo na hivyo ndio alipata madaraka hadi commissioner of police. Pale donholm outering ako na magorofa kadhaa.
Nattydread said: Hata usipopiga picha utakuwa umewalisha baadala ya kutuambia vile wazazi wamekataa kudedi. Click to expand... Kuna a senior police officer akiwa traffic alikuwa anahonga watu wa media kumusifu eti huwa hachukui hongo na hivyo ndio alipata madaraka hadi commissioner of police. Pale donholm outering ako na magorofa kadhaa.