Watu Wataacha Ujinga

Ati oh, kalonzo should support babu ndio 2027 amuachie!!!! This is the most retrogressive statement I have ever heard. Nani aliwaambia kiti ya president hua ya kuachiana? Uongozi ni kupigania, sio kuachiwa. Ruto knew very well ati even if Uhuru said yangu kumi na ya Ruto kumi, he was required to go out there and look for votes. That's why he started early campaigns. kaloser kakae tu ivo kangojee kapewe uongozi. It will never happen.

 
Back
Top