Meria
Elder Lister
"Vijana wote tulikuwa tunaajiri kwa Kazi Mtaani, tutawaajiri wapande miti," President William Ruto has announced.
"Lazima tuchangie katika kubadilisha mazingira. Tunataka tupande miti kwa sababu climate change is a reality. Tutajenga mega dams 100. Kwa affordable Housing, tuko na nafasi ya ajira ya vijana wetu," Ruto said.
"Nimemwambia Kang'ata wa barua, kabla hajaniandikia barua, aende apange mahali tutajenga nyumba za Affordable Housing, at least 2,000 in every locality. The Affordable Housing plan is meant to save our agricultural land from settlement," Ruto added.